Baba Yetu (Christopher Tin)

Aboutopen in new window

Youtubeopen in new window

Spotifyopen in new window

Lyrics

Baba yetu, yetu uliye
Mbinguni yetu, yetu amina!
Baba yetu yetu uliye
M Jina lako e litukuzwe.

(Translated)
Our Father, who art
in Heaven. Amen!
Our Father,
Hallowed be thy name.

Utupe leo chakula chetu
Tunachohitaji, utusamehe
Makosa yetu, hey!
Kama nasi tunavyowasamehe
Waliotukosea usitutie
Katika majaribu, lakini
Utuokoe, na yule, muovu e milele!

(Translated)
Give us this day our daily bread,
Forgive us of
our trespasses,
As we forgive others
Who trespass against us
Lead us not into temptation, but
deliver us from the evil one forever.

Ufalme wako ufike utakalo
Lifanyike duniani kama mbinguni.
(Amina)

(Translated)
Thy kingdom come, thy will be done
On Earth as it is in Heaven.
(Amen)

Last Updated:
Contributors: Stanley Ndagi